Social Icons

Instagram
KARIBU KWENYE BLOG YA KIBA SQUARE KUONA NA KUDOWNLOAD MUSIC NA KUJUA KINACHO JILI MTAANI NA MAISHA YA KIBA SQUARE

Wednesday, July 1, 2015

King Kiba mwenyewe atakuwa pamoja nasi kwenye ukurasa huu leo kwanzia saa 10 jioni akielezea safari yake ya kimuziki. Kama ni hamasa unatafuta basi hakika leo utaipata hapa. Tupia swali lako katika comments alafu msubirie mzee wa Cheketua saa kumi na jibu lako.


No comments:

Post a Comment