Social Icons

Instagram
KARIBU KWENYE BLOG YA KIBA SQUARE KUONA NA KUDOWNLOAD MUSIC NA KUJUA KINACHO JILI MTAANI NA MAISHA YA KIBA SQUARE

Tuesday, June 23, 2015

ALIKIBA AANZISHA DALADALA TOUR KUWASHUKURU MASHABIKI KWA KUMPIGIA KURA

Ally kiba kaamua kuanza Tour ya aina yake aliyoiita KingKiba Dalala Tour kuwashukuru mashabiki wake kwa kumuwezesha kuchukua tuzo tano za KITM2015.