Social Icons

Instagram
KARIBU KWENYE BLOG YA KIBA SQUARE KUONA NA KUDOWNLOAD MUSIC NA KUJUA KINACHO JILI MTAANI NA MAISHA YA KIBA SQUARE

Tuesday, December 23, 2014

Saturday, November 29, 2014

Angalia Hapa Baadhi ya matukio ya Happy birthday ya ALIKIBA

Maisha magumu sana tulipitia kipindi cha nyuma bt u ulisimama imara kama kaka mkubwa kuhakikisha kila kitu kinakuwa sawa ulipambana na mengi na bado unaendelea kupambana na mengi kwenye maisha yako lakin msimamo wetu bado unaendelea kuwa pale pale kila jambo huleta na m/mungu pole pole utafika ulipopawazia na kupaombe....napenda kuchukua nafasi hii kukutaki maisha mema yenye kheri na mafanikio akuepushie na shari na mabalaa wakuombeayo wengineHAPPY BIRTHDAY to u @officialalikiba @officialalikiba

Sunday, September 14, 2014

ANGALIA HAPA MATUKIO YA VIDEO MSANII KUTOKA TEAM KIBASQUARE G FRANK

 Ni msanii chipukizi kutoka Team kibasquare ambaye anafahamika kwa jina la G FRANK anayetamba na ngoma ya AYAYA aliyemshirikisha ABDUKIBA,amefanya video kali sana na production ya KIUMBE VIDEOZ chini ya dir.TONEE BLAZE na video inatarajia kutoka hivi karibuni.

ALIKIBA avunja rekodi ya downloads katika mkito.com